web analytics

Habari Za Teknolojia

Habari za teknolojia

Bakhresa kuja na Azam Telecom

Akizungumza na gazeti la kila siku la The Citizen,  Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa kampuni ya Bakhresa Group, bwana Hussein Sufian Ally amesema kundi...

Instagram yazindua IGTV, programu tumishi kwa ajili ya video ndefu.

IGTV ni jaribio la Instagram kuanzisha mfumo wa kurusha Video ndefu kama YouTube, ambapo hapo awali Instagram ilikuwa ikiruhusu watumiaji kupakia mpaka video za...

Microsoft yathibitisha kuinunua GitHub kwa dola billioni 7.5

Baada ya tetesi kuvuma kwa majuma kadhaa, leo Microsoft wamethibitisha inainunua GitHub kwa gharama ya dola za kimarekani bilioni 7.5. Ripoti zilizoanza kuonekana juma...

Nini cha kutarajia katika mkutano wa WWDC 2018

Apple wako tayari kwa ajili ya mkutano wa mwaka 2018 wa ma developer duniani kote maarufu kama Worldwide Developers Conference (WWDC) utakaofanyika Jose McEneryxf Convention Center...

Facebook kuondoa kipengele cha Trending Topics hivi karibuni

 Facebook imeamua kuondoa kipengele cha Trending topics, habari imeandikwa kwenye blog ya mtandao huo wa kijamii wa Facebook. Kipengele icho cha Trending topics kilianzishwa...

Raia Uganda kutozwa kodi kila watakapotumia mitandao ya kijamii

Bunge la Uganda laidhinisha mswada tata siku ya Jumatano utakaowataka watumiaji wa mitandao ya kijamii kulipia ili kutumia mitandao hiyo. Chini ya sheria hiyo...

Mahakama Kenya Yazuia Baadhi ya Vifungu vya Sheria ya Makosa ya...

Mahakama kuu nchini Kenya imevizuia vifungu 26 vya Sheria mpya ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Makosa ya Mtandao mpaka hapo shauri litakaposikilizwa, hatua hii...

Apple kuhamia kwenye vioo vya OLED kwa iPhone zote kuanzia 2019

Kuna ripoti ambazo zimeanza kuenea kuwa kampuni ya simu ya Apple itaanza kutumia vioo vye teknolojia ya OLED kwenye modeli za simu zake zote...

YouTube Music: Huduma mpya ya kustream muziki kutoka Google yazinduliwa

Leo YouTube wanazindua huduma mpya kustream muziki iliyopewa jina la YouTube Music. Huduma hii itakupa fursa ya kusikiliza albamu nzima, cover, remix, matoleo ya live...

Twitter sasa yatambua Kiswahili kama lugha rasmi

Mtandao wa kijamii wa Twitter umeongeza lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha rasmi kwenye mtandao huo. Kiswahili ni moja ya lugha zinazotumika na...